graduate

n 1 mtu aliyepata digrii ~/ post ~ student mzamili. 2 (US) mtu aliyehitimu mafunzo katika taasisi ya elimu (chuo, shule n.k.). vt,vi 1 tia alama za vipimo. 2 panga kwa madaraja. 3 pata digrii, hitimu. 4 (chiefly US) toa digrii/diploma/cheti n.k.). graduation n mahafali.