gradation

n 1 mgeuko wa polepole. 2 daraja la maendeleo/ustawi. 3 mabadiliko ya tabaka. 4 (philol) apofonia. gradate vi,vt panga katika madaraja, geuka polepole. grade n 1 cheo, daraja, hadhi. 2 (US) darasa. 3 alama, maksi. make the grade (colloq) fikia kiwango kinachotakiwa.4 (US) mteremko, mwinamo. on the up/down grade kupanda/kushuka. grade crossing n njia panda (ya reli), tambukareli. vt 1 panga katika madaraja. 2 sawazisha ardhi. 3 grade up pandisha mbegu bora (ya ng'ombe).