gossip

n 1 umbeya, udaku. 2 uandishi wa habari za watu za binafsi k.m. katika gazeti. (attrib) the ~ column n safu ya habari za binafsi. 3 (chat) soga, maongezi. 4 mbeya, mdaku vi sema/andika habari za binafsi; piga domo/umbeya.