golf

n gofu vi cheza gofu. ~ball n mpira wa gofu. ~-club n 1 klabu ya gofu. 2 kigoe/kingoe cha gofu. ~-course n uwanja wa gofu. golfer n mchezaji wa gofu.