n 1 dhahabu. worth one's weight in ~ -enye thamani kubwa, muhimu sana. 2 utajiri. 3 (fig) kitu cha thamani sana; tabia nzuri a heart of ~ moyo mkunjufu/mkarimu. 4 rangi ya dhahabu. ~ beatern mtengeneza mabamba ya dhahabu, mfua dhahabu. gold-diggern mchimba dhahabu; (sl) mwanamke anayetafuta mapenzi kwa sababu ya hela. ~ fieldn machimbo ya dhahabu. gold-dustn mavumbi ya dhahabu. gold-foil; gold-leafn jaribosi/ bamba/karatasi ya dhahabu. ~minen mgodi wa dhahabu; (fig) mradi wa utajiri/tija. gold-platen vyombo (vijiko, sahani n.k.) vya dhahabu. gold-rushn kikaka cha kutafuta dhahabu iliyogunduliwa. ~ smithn sonara, mfua dhahabu. goldenadj 1 -a dhahabu, kama dhahabu, -enye rangi ya dhahabu. 2 -a thamani sana, -a tunu; -zuri mno a ~enopportunity nafasi ya kufaa sana. the ~en agen (katika hadithi za kiyunani) zamani za ustawi, heri na furaha kubwa; kipindi cha upeo wa ustawi wa fasihi na sanaa. ~en handshaken kiinua mgongo kikubwa anachopewa mtu wa cheo anapostaafu. the ~en meann kanuni ya kutovuka mpaka/ya suluhu (katika tabia ya mtu). the ~en rulen kanuni ya muhimu/ya msingi/gezi (k.m. watendee wenzio kama unavyopenda kutendewa). ~en weddingn maadhimisho ya miaka 50 ya ndoa.