goggle

vi ~ (at) kodolea macho. ~-box n (sl) televisheni. goggle-eyed adj -enye macho ya gololi/tunguja. goggles n miwani mikubwa ya kuzuia upepo, maji, vumbi n.k.