god

n 1 mungu. the ~s n miungu. 2 G~ n Mungu, Mola, Allah, Muumba. G~ willing Mungu akipenda G~ be with you Mungu awe nanyi G~ forbid! ~ preserve us! Mungu aepushie mbali G~'s truth! haki ya Mungu! thank G~! shukuru Mungu. 3 mungu mdogo he thinks he is a ~ anajifanya mungu mdogo. 4 (theatre) the ~s n viti vya juu. 5 (compounds) godchild n; ~daughter/~son n mtoto wa ubatizo. ~father/~mother n baba/mama wa ubatizo. ~-damn (ed)/(US) goddam adv,adj (sl vulg) mno, sana. ~ fearing adj -chaji mungu, -cha mungu. godforsaken adj 1 (of place) -a ovyo, baya sana, la kukatisha tamaa. 2 G~'s acre n (old use) makaburini, uwanja wa kanisa. ~s end n bahati kubwa (isiyotegemewa). godspeed n wish somebody ~speed takia mtu safari ya heri. goddess n Mungu wa kike. godhead n uungu. the G~head mungu. godless adj kafiri, -siomjua/-siotambua Mungu, -ovu. godlike adj -a kimungu, kama mungu. godly adj -enye kucha mungu. godliness n.