n mbuzi. he-~n beberu; denge la mbuzi. she ~ (or nanny ~)n mbarika. get one's ~(sl) udhi, kasirisha. play/act the giddy ~ fanya upumbavu. separate the sheep from the ~s tenga wema na wabaya. goateen ndevu (kama) za mbuzi (beberu). ~ -heardn mchunga mbuzi. goatskinn vazi lililotengenezwa kwa ngozi ya mbuzi.