glow

vi 1 ng'aa, waka (bila kutoa ndimi za moto). 2 (fig) waka; chachawa, sisimka ~ with pride sisimka kwa fahari n mng'aro the ~ of the sky at sunset mng'aro wa mbingu wakati wa magharibi. glow-worm n kimulimuli. glowing adj -a kung'ara; (fig) -enye shauku. glowingly adv.