gleam

n 1 kimulimuli. 2 (fig) kiasi kidogo, dalili ndogo (ya kutu-mainisha, kufurahisha n.k.) a ~ of hope dalili ya matumaini. vi ng'aa, mulika.