glance

vi,vt 1 ~ at tupia jicho, angalia kidogo, chungulia, tazama mara moja he ~d at his watch alitazama saa mara moja. 2 ~ at/ through/over/down pitia kwa haraka, pitisha macho. 3 ~ aside/ off(of weapon or blow) paruza. 4 (of bright objects, light) mweka, metameta. n 1 tazamo la haraka, mtupo wa jicho loving ~ tazamo la mahaba/kimapenzi cast a ~ tupia jicho. at a ~ kwa tazamo la haraka; mara moja. at first ~ kwa kuangalia mara ya kwanza; kwa kuangalia juujuu. 2 mweko (wa visu, mapanga, taa n.k.).