glamour

(US glamor) n 1 heba/haiba,mvuto. 2 ubembe, uzuri unaovutia kimapenzi ~ girl msichana mwenye ubembe. glamorize vt -fanya kuwa zuri (kwa kupiga chuku). glamorization n.