glad

adj 1 (pred only) -enye furaha they will be ~ to hear watafurahi kusikia make ~ furahisha. 2 -a kufurahisha ~news habari za kufurahisha. give somebody the ~ eye (sl) tazama kibembe, kwa macho ya kurembua. give somebody the ~ hand (sl) karibisha, salimu kwa uchangamfu (hasa kwa lengo la kufaidi kitu). ~ rags n (sl) nguo za sherehe/tafrija. gladden vt. furahisha. gladness n. gladsome adj (liter) -a furaha. -kunjufu. gladly adv.