glacial

adj 1 -a theluji, -a barafu, -a enzi ya barafu the ~ era/epoch kipindi ambacho eneo la kaskazini mwa dunia lilifunikwa na barafu; (fig) -a baridi sana ~ manner tabia baridi. glacially adv. glaciation n. glacier n mto (wa) barafu.