girth

n 1 kipimo cha mzingo a circle/ waist/barrel 30 metres in ~ duara/ kiuno/pipa lenye mzingo wa mita 30 his ~ is increasing ananenepa. 2 (in harness) ukanda unaopitishwa tumboni mwa farasi (kufungia matandiko).