gipsy/gypsy

n 1 gipsy mzururaji. 2 Gipsy n mhamaji mzururaji (agh. mwenye asili ya kihindi apataye riziki yake kwa biashara ya farasi, kuuza vikapu, utabiri n.k.).