n 1 tangawizi. ~ beer/alen soda ya tangawizi. ~ breadn keki/mkate wa tangawizi. 2 bidii; nguvu; uchangamfu ~group (in parliament) kikundi cha kuchemsha/ kuchangamsha serikali. 3 rangi ya hudhurungi nyekundu. gingeryadj. gingerlyadv kwa hadhari sana, kwa uangalifu sana, kwa makini sana. ~ up changamsha.