gigolo

n 1 mwanamume anayekodishwa na mwanamke (kucheza naye dansa). 2 kijana kipenzi cha mwanamke mzee tajiri (anayetunzwa naye).