gig

n 1 (hist) gari dogo la farasi lenye magurudumu mawili. 2 (naut) mashua ndogo (ya meli kubwa agh. kwa matumizi ya nahodha). 3 (colloq) onyesho la muziki.