gibbet

n 1 kiunzi cha kunyongea. 2 kifo cha kunyongwa. 3 kiunzi cha kuonyesha walionyongwa. vt nyonga kwa kitanzi; (fig) dharau.