giant

n 1 (in fairy tales) jitu. 2 pandikizi (la mtu/mnyama n.k.); (fig) mtu mwenye akili au kipaji kikubwa. 3 (attrib) -kubwa sana, -enye nguvu sana. giantess n jitu la kike.