ghastly

adv kama kifo adj 1 mahututi; -a kupauka he was looking ~ alionekana mahututi. 2 -a kutisha, -a kuogopesha a ~ accident ajali mbaya mno. 3 (colloq) -a ovyo, -siopendeza.