gesture

n 1 ishara ya mikono au kichwa (kutoa wazo, hisia n.k.). 2 tendo la kuonyesha hisia/mtazamo as a ~ of friendship he gave us his new book alitupatia kitabu chake kipya kama ishara ya urafiki; utumiaji wa ishara. vi ashiria.