gerrymander

vt fanya hila katika uchaguzi (katika kupanga mpaka wa majimbo ya uchaguzi kwa ajili ya kupendelea mtu/chama/tabaka fulani. n hila katika uchaguzi.