genus

n 1 jenasi: uainishi spishi zenye sifa zinazofanana; (bio) nasaba ~ Homo wanadamu. 2 jinsi, namna, aina; jamii.