gentle

adj 1 -pole, raufu; latifu, si kali a ~ breeze upepo mwanana a ~ slope mteremko usio mkali. 2 (of a family) ungwana. gentlefolk n (pl) waungwana. gentleness n upole, uraufu. vt 1 fundisha/ongoza farasi kuwa mpole. 2 bembeleza, tuliza. gently adv kwa upole, kinyerenyere; kwa uangalifu hold it gently shika kwa uangalifu.