genteel

adj (usu ironic in modern use; but serious in former use) -a kiungwana; -a daraja kubwa living in ~ poverty jaribu kuishi maisha ya juu ingawa maskini sana; kufa kiofisa. genteelly adv. gentility n uungwana; ubwana living in shabby gentility jitwaza, iga maisha ya juu.