genius

n 1 kipaji. 2 mtu mwenye kipaji hicho. 3 a ~ for kipaji/uwezo asilia wa a ~ for languages kipaji cha lugha. 4 the ~ (of) busara, roho ya namna fulani maalum. 5 one's good/ evil/ ~ pepo mwema/mbaya anayetawala, anayelinda, anayeongoza mahali au watu wengine; mtu anayewaathiri sana wenzie ~ loci mazingira ya mahala; (evil) afriti. 6 (pl genii) jini, zimwi.