adj 1 -a jumla; -a -ote; si maalum a matter of ~ interest jambo la kuhusu watu wote. ~ knowledgen maarifa, malimwengu ~ paper karatasi ya maarifa. ~ practitionern daktari anayetibu magonjwa yote ~ clauses ibara za jumla. ~ degreen digrii ya jumla; (common) -a desturi, -a kawaida, -a siku zote. in ~; as a ~ rule kwa kawaida/-desturi, mara nyingi of ~ application -a kutumika kwa kawaida. 2 -a kudokeza, -a jumla ~ idea/outline dokezo, maelezo ya juujuu tu a ~ statement maelezo ya juu-juu tu. 3 (chief, principal) -kuu, -kubwa. ~ electionn uchaguzi mkuu. ~ meetingn mkutano mkuu n(milit) jenerali. generalizationn 1 jambo, shauri, neno, maono maarifa n.k. ya kijumla jumla (bila kuhoji au kufikiria mambo yote), jumuisho. 2 majumui. generalizevi, vtgeneralize (from/about) 1 fikia hitimisho la jumla; toa kauli ya jumla. 2 eleza jambo jumlajumla, jumuisha. 3 ingiza katika matumizi ya jumla, sambaza/fanya itumike kote. generallyadv 1 mara nyingi, kwa kawaida/desturi. 2 kwa jumla. generalshipn 1 ujenerali. 2 maarifa ya vita. 3 ustadi wa usimamizi (wa shughuli n.k.). generalissimon jemadari mkuu wa majeshi yote (ya nchi kavu, anga na majini). generalityn 1 kauli ya jumla. 2 the ~ity (of) idadi kubwa (ya); wengi the ~ity of students passed the examination wengi wa wanafunzi walifaulu mtihani.