gene

n jeni: sehemu ya DNA inayorithisha tabia au umbile fulani. genetic adj 1 -a jeni/-a jenetiki. 2 -a kinasaba/kijeni a ~tic defect hitilafu ya kinasaba. genes n jenetiki. genealogy n (elimu ya) nasaba, kizazi, ukoo. ~tree n shajara ya nasaba. genealogical adj. genealogically adv.