gender

n 1 jinsi (mume au mke); jinsia ~ question suala la kijinsia. 2 (gram) ngeli (za maneno) feminine ~ jinsi ya kike masculine ~ jinsi ya kiume neuter ~ jinsi isiyo ya kike wala ya kiume.