gem

n 1 kito; johari. 2 kitu kinachotha- miniwa sana kwa sababu ya uzuri wake. gemmed adj -liopambwa na vito.