geisha

n geisha: msichana au mwanamke wa Kijapani anayewaburudisha watu kwenye tafrija n.k. kwa kuimba na kucheza.