n 1 gia (k.v. ya gari) change ~ badili gia. high/low ~n gia kubwa/gia ndogo. in/out of ~n katika gia/bila gia. top/bottom ~n gia ya juu/ya chini. ~ boxn giaboksi. ~ shift/lever/stickn mkono wa kubadilishia gia. 2 zana zenye kazi maalum the landing ~ of an aircraft miguu ya kutulia ndege. 3 vifaa jumla hunting ~ vifaa vya kuwindia (modern, colloq) nguo, mavazi party ~ nguo za sherehe. vt,vi~ up/down weka gia ya juu/ya chini. ~ to rekebisha kitu kikidhi matakwa ya wakati huo ~ the country's economy to wartime requirements rekebisha uchumi wa nchi kukidhi mahitaji ya wakati wa vita.