gauntlet

gauntlet

1 n 1 glavu ya chuma (iliyova- liwa na askari wa zamani sana). throw down/pick up/take up the ~ dai/kubali kupigana. 2 glavu ngumu ya kuendeshea gari n.k..

gauntlet

2 n (only in) run the ~ kimbia kati ya safu mbili za watu na pigwa nao kadri upitavyo; (fig) kabiliwa na hatari/kashfa n.k..