gauge/gage

(US) n 1 geji standard ~ geji ya kawaida take somebody's~ (fig) pima, tathmini, kisia tabia ya mtu. 2 kipimia mvua/nguvu ya upepo/unene n.k. rain ~ kipimia mvua. 3 (railway) geji: upana kati ya reli. 4 (of wire etc) geji: unene wa waya, bati n.k.. vt pima, kadiria, kisia; (fig) kisia.