gather

vt,vi 1 (of people, things etc) dunduliza, kusanya; kusanyika, konga ~ crowd of people kusanya umati wa watu the clouds are ~ing mawingu yanakusanyika. be ~ed to one's fathers fariki. 2 (of flowers, berries etc) chuma. 3 pata polepole ~ rust pata kutu ~ information pata habari kidogo kidogo, duduliza/kusanya habari ~ speed ongeza mwendo. 4 (understand, conclude) elewa, fahamu what did you ~ from his statement? ulielewa nini kutokana na usemi wake? 5 (in sewing) fanya marinda. 6 (of a boil) tunga usaha, iva. gathering n 1 kukutana; mkutano; mkusanyiko. 2 kutunga usaha.