gate

n lango; kizuizi. ~ crash vt ingia (katika nyumba, tafrija au uwanja) bila idhini au kiingilio. ~ crasher n mpandiaji. ~ house n nyumba iliyo karibu na lango. ~ keeper n bawabu. ~legged table n meza ya miguu ya kukunjuka. ~ money n fedha za kiingilio. ~ post n nguzo ya lango. between you(and) me and the ~ post n kwa siri sana. ~ way n njia inayofungwa kwa lango; (fig) mbinu/njia ya kukabili/kufikia (jambo). vt zuia mwanafunzi abakie shuleni (kama adhabu).