gas

n 1 gesi. ~ bag n mfuko wa gesi; (colloq) mtu anayebwabwaja. ~ bracket n kiango cha gesi. ~ fire n moto wa gesi (wa kutia joto chumba). ~ fitter n fundi gesi, fundi wa kutia vifaa vya gesi katika jengo. ~ helmet; ~ mask n chombo/kofia/helmeti la kuzuia gesi isiingie puani. ~ holder/~ meter n mita ya gesi. ~ main n bomba kubwa la kugawia gesi majumbani. ~ tar n lami ya gesi. ~ chamber n chumba chenye gesi cha kuulia watu/wanyama. ~cooker/ stove/oven n jiko la gesi. ~ fittings n vifaa k.m. mabomba kwa ajili ya kuwashia gesi. gaslight n mwanga utokanao na gesi. ~poker n kiwashia moto cha gesi. gasworks n (pl) mahali gesi ya makaa inapotengenezwa. 2 laughing ~ nusu kaputi. 3 (US colloq) (abbr of gasoline) petroli. step on the ~kanyaga eksileta; ongeza mwendo; (fig) harakisha, tia mwendo. ~ station n (US) kituo cha petroli. 4 (fig) (colloq) mbwabwajiko; kuringa. vt,vi. 1 ua/kufa kwa gesi. 2 (colloq) bwabwaja, piga soga. gaseous adj -a gesi, kama gesi. gasify vt,vi geuza/geuka kuwa gesi ~ ification n. gassy adj 1 -a gesi, -liojaa gesi. 2 (of talk etc) -a kubwatabwata; -a mbwembwe. ~oline/~olene n (US) petroli.