garnish

vt ~ with pamba (hasa chakula mezani) meat ~ed with vegetables nyama iliyopambwa na mboga. n kipamba chakula.