n 1 bustani market ~ bustani (ya maua/matunda/mboga) ya biashara kitchen ~ bustani ya mboga (kwa matumizi ya nyumbani). lead somebody up the ~ path (colloq) danganya mtu common or ~ variety aina ya kawaida. 2 (pl)gardensn bustani kubwa kwa maburudisho ya wote; bustani ya hadhara. 3 (compounds)~ centren mahali panapouziwa mbegu, mimea au vifaa vya kulimia bustani. ~ city/suburbn mji/kitongoji chenye sehemu nyingi wazi zilizopandwa miti mingi. ~ partyn karamu bustanini. vi lima bustani. gardenern mkulima wa bustani. gardeningn kilimo cha bustani.