gape

vi ~ (at somebody/something) 1 achama. 2 piga miayo; (of earth etc) atuka, pasuka, fanya ufa. n miayo, mwachamo wa mdomo. (pl) the ~s n miayo ya ugonjwa wa kuku; (joc) kushikwa na miayo.