gangway

n 1 njia, ulalo, ubao wa kuingilia melini. 2 (US aisle) nafasi kati ya viti au safu za watu; (GB in the House of Commons) members above the ~ wabunge mashuhuri interj hodi! nipishe!