gang

n 1 kundi/jamii ya watu wafanyao kazi pamoja (agh. wahalifu), genge. 2 (colloq) kundi la wahuni. vi ~ up (on) piga maro, changia. gangster n jambazi ~ster films filamu za kijambazi. ganger n msimamizi, mnyapara.