1n 1 mchezo (wenye sheria/ kanuni). be off one's ~ -tokuwa katika hali nzuri ya kucheza. have the ~ in one's hands -wa na hakika ya kushinda. play the ~ fuata kanuni ya mchezo; (fig) -wa wazi na mwaminifu ~s master/mistress mwalimu wa michezo shuleni. gamesmanshipn(colloq) mbinu ya kushinda michezo. 2 vyombo vya kuchezea bao n.k. 3 (international contest) Olympic/Commonwealth/ East African G~s Michezo ya Olympiki/Madola/Afrika Mashariki. 4 (single round in some contests e.g. tennis) raundi win five ~s in the first set shinda raundi tano katika seti ya kwanza. 5 (scheme, plan) hila, shauri play a dangerous ~ -wa na shabaha yenye hatari/hila za kichinichini. beat somebody at his own ~ shinda mtu katika ujanja wake. make ~ of somebody fanyia mzaha/dhihaki mtu the ~ is up mambo/njama yame-fichuka don't play ~s with me usinichezee, usinidanganye. give the ~ away toa siri/nia. play somebody's ~ endeleza hila/ mpango wa mtu (bila kujua). 6 (collective) mawindo, wanyama/ndege wa kuwinda. big ~n wanyama wakubwa (agh. tembo, simba, nyati n.k.). fair ~n wanyama wanaoruhusiwa kuwindwa; (fig) mtu/shirika linaloweza kukosolewa/kushutumiwa. ~ bagn mfuko wa mawindo. ~ birdn ndege wa kuwinda. ~ cockn kuchi. ~ keepern mlinzi wa wanyama/ndege wa kuwinda. ~laws/actn sheria za kuhifadhi wanyama. ~ licencen leseni ya kuwinda na kuua wanyama wa kuwinda. ~ reserven hifadhi ya wanyama. gamyadj -enye harufu ya wanyama pori.
game
2adj shujaa. be ~ for/to do something -wa tayari. gamelyadv kwa uhodari, kwa ushujaa.
game
3vi,vt cheza kamari. gaming house/room/tablen nyumba ya kamari iliyokatiwa leseni.
game
4adj(of arm, leg) -enye kilema. gameten gameti: seli pevu za uzazi.