vi,vt cheza kamari; bahatisha. ~ away one's fortune poteza mali kwa kamari n kubahatisha it's pure ~ ni kubahatisha tu. take a ~ (on something) jaribu bahati. gamblern mchezaji kamari; mtu anayebahatisha. gamblingn kucheza kamari. gambling den/housen mahali pa kuchezea kamari/nyumba ya kamari.