gallows

n (pl) (usu with sing v) kiunzi cha miti cha kunyongea. ~ bird n mtu anayefikiriwa anastahili kunyongwa send somebody to the ~ hukumu mtu kunyongwa.