galley

n 1 (hist) manchani inayoendeshwa na watumwa au wahalifu. ~ slave n mtumwa aliyehukumiwa kuvuta makasia katika manchani. 2 trei ya kuwekea herufi. ~ proof n gali: chapa ya kwanza katika kipande kirefu cha karatasi.