gallery

n 1 nyumba ya sanaa. 2 watu wakaao kwenye viti rahisi vya juu kwenye thieta. play to the ~ jipendekeza kwa umma. 3 (in theatre, church etc) orofa ya juu. 4 ujia (mrefu mwembamba) ulioezekwa juu. 5 chumba kirefu na chembamba. 6 njia (ya mlalo ndani ya machimbo ya madini).