gall

gall

1 n 1 nyongo. ~ bladder n kibofu nyongo. ~ stone n jiwe: ugumu unaoota kwenye nyongo. 2 uchungu, chuki. 3 (colloq) ufidhuli.

gall

2 n (of an animal esp a horse) lengelenge, kidonda, chubuko vt. 1 chubua; kwaruza. 2 (fig) tweza, dhilisha; umiza.

gall

3 n kinundu cha mti kinachooteshwa na wadudu.